Mbowe, wenzake wahojiwa kwa saa nne, waachiwa kwa dhamana...soma habari kamili na matukio360...#share
Na Abraham Ntambara, Dar es salaam
VIONGOZI wakuu sita wa Chadema akiwamo Freeman Mbowe wamehojiwa kwa saa nne katika kituo cha polisi kati jijini Dar es salaam, taarifa zinadai mahojiano yalihusu kufanya maandamano Februari 16,2018 bila kuwa na kibali.
Wengine ni John Mnyika, Halima Mdee, John Mrema, Salum Mwalimu, Ester Matiko na John Heche. Wamehojiwa kuanzia saa saa nane mchana hadi saa 12 Alasir
Freeman Mbowe
Hata hivyo wote wameachiwa kwa dhamana huku Mbowe akiondoka kwa eskoti ya polisi na watarejea hapo Machi 5,2018
Hatua hiyo inafuatia wiki iliyopita baadhi ya viongozi hao kufika kituoani hapo na kutakiwa kurejea leo majira ya saa nne asubuhi kuitikia wito wa kamanda jeshi la polisi Dar es salaam, Lazaro Mambosasa.

No comments:
Post a Comment