Morgan Tsvangirai afariki dunia..soma habari kamili na matukio360...
Na mashirika ya kimataifa
KIONGOZI mkuu wa upinzani nchini Zimbabwe, Morgan Tsvangirai amefariki dunia usiku wa jana.
Amefariki katika hospitali moja nchini Afrika Kusini alikokuwa akipatiwa matibabu ya saratani ya utumbo.
Morgan Tsvangirai

Naibu Mwenyekiti wa chama cha MDC, Elias Mudzuri kupitia ukurasa wa twita alitangaza kifo hicho.
"Ninauzuni kutangaza kumpoteza mpambanaji na mpigania demekrasia," ameandika
Tangu mwaka 2016 Tsvangirai alikuwa akienda Afrika Kusini kupatiwa matibabu ya kansa
No comments:
Post a Comment