IGP Sirro aapishwa kuwa mjumbe tume ya utumishi...soma habari kamili na matukio360...#share



Mkuu  wa Jeshi la Polisi nchini, IGP Simon Sirro akiapa mbele ya Jaji Kiongozi Ferdinand Wambari kuwa mjumbe wa Tume ya Utumishi wa Polisi na Magereza. Tukio hilo limefanyika jana Mahakama Kuu ya Tanzania, jijini Dar es Salaam. 


Mkuu  wa Jeshi la Polisi nchini, IGP Simon Sirro (kulia),  akipokea hati ya kiapo kutoka kwa  Jaji Kiongozi Ferdinand Wambari, ambayo inamuwezesha  kuwa mjumbe wa Tume ya Utumishi wa Polisi na Magereza. Tukio hilo limefanyika jana Mahakama Kuu ya Tanzania, jijini Dar es Salaam. 

Kamishna wa Uhamiaji, Edward Chogero (kulia),  akipokea hati ya kiapo kutoka kwa  Jaji Kiongozi Ferdinand Wambari, ambayo inamuwezesha  kuwa mjumbe wa Tume ya Utumishi wa Polisi na Magereza. Tukio hilo limefanyika jana Mahakama Kuu ya Tanzania, jijini Dar es Salaam.

Jaji Kiongozi Ferdinand Wambari,akizungumza na Mkuu  wa Jeshi la Polisi nchini, IGP Simon Sirro(kulia) na Kamishna wa Uhamiaji,Edward Chogero (kulia), baada ya kuwaapisha kuwa wajumbe wa Tume ya Utumishi wa Polisi na Magereza.Tukio hilo limefanyika jana Mahakama Kuu ya Tanzania, jijini Dar es Salaam.

Picha na Jeshi la Polisi

About Author Matukio360

Matukio360 ni sehemu pekee inayokuletea matukio ya moto moto kutoka pande zote za dunia katika wakati ule ule yalipotokea yaani mubashara. Habari ni za uhakika na zilizofanyiwa uchunguzi wa kina na kuandikwa kwa ueledi mkubwa na sio ukanjanja. Usibanduke katika ukurasa huu wa Matukio360, wajulishe na marafiki zako sasa wajipatie habari za uhakika.

No comments:

Post a Comment

Leo leo Plus

Start typing and press Enter to search