Jinsi Magufuli, mkewe walivyoshiriki ibada ya matawi...soma habari kamili na matukio360...#share
Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli, mkewe Mama Janeth Magufuli na mke
wa Waziri Mkuu Mama Mary Majaliwa wakiwa wamejumuika na waumini wengine katika
Ibada ya Jumapili ya Matawi katika kanisa la Mtakatifu Petro Oysterbay jijini
Dar es salaam leo Machi 25, 2018

wa Waziri Mkuu Mama Mary Majaliwa wakipeana amani na Masista wa Kanisa Katoliki
walipojumuika na waumini wengine katika Ibada ya Jumapili ya Matawi katika
kanisa la Mtakatifu Petro Oysterbay jijini Dar es salaam leo Machi 25, 2018
Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akiwa na mkewe Mama Janeth
Magufuli akishukuru baada ya kupokea Sakramenti takatifu wakati wa Ibada ya
Jumapili ya Matawi katika kanisa la Mtakatifu Petro Oysterbay jijini Dar es
salaam leo Machi 25, 2018
Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akisalimiana na wananchi baada ya
kushiriki Ibada ya Jumapili ya Matawi katika kanisa la Mtakatifu Petro
Oysterbay jijini Dar es salaam leo Machi 25, 2018
No comments:
Post a Comment