Lowassa, Mbowe washiriki ibada ya matawi...soma habari kamili na matukio360...#share


Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, Kiongozi wa Upinzani Bungeni na Mbunge wa Hai, Freeman Mbowe na Mjumbe wa Kamati Kuu ya CHADEMA na Waziri Mkuu Mstaafu, Edward Lowasssa, leo Wameshiriki ibada ya Jumapili ya Matawi KKKT Azania Front Posta ya zamani Dar es salaam

Ibada ya Jumapili ya Matawi huadhimishwa wiki moja kabla ya Sikukuu ya Pasaka.

About Author Matukio360

Matukio360 ni sehemu pekee inayokuletea matukio ya moto moto kutoka pande zote za dunia katika wakati ule ule yalipotokea yaani mubashara. Habari ni za uhakika na zilizofanyiwa uchunguzi wa kina na kuandikwa kwa ueledi mkubwa na sio ukanjanja. Usibanduke katika ukurasa huu wa Matukio360, wajulishe na marafiki zako sasa wajipatie habari za uhakika.

No comments:

Post a Comment

Leo leo Plus

Start typing and press Enter to search