Jokate atumbuliwa UVCCM...soma habari kamili na matukio360...#share
Na Mwandishi Wetu, Dodoma
MWENYEKITI wa Umoja wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi (UVCCM) Taifa, Kheri James ametengua uteuzi wa Kaimu Katibu Idara ya Uhamasishaji na Chipukizi ya UVCCM Taifa Jokate Mwegelo kuanzia leo.

Uamuzi huo umefikiwa baada
ya Kamati ya Utekelezaji ya UVCCM iliyokutana
kwa dharura mchana chini ya Mwenyekiti huyo na taarifa zinaeleza kuwa nafasi yake itajazwa baadaye.
Mwaka 2006 Jokate alikuwa mshindi wa pili katika shindano la Miss Tanzania.

No comments:
Post a Comment