Kabourou kuzikwa kesho, Magufuli atuma rambirambi....soma habari kamili na matukio360..#share

Na mwandishi wetu
RAIS John Magufuli ametuma salamu za rambirambi kufuatia kifo cha mbunge mstaafu wa Kigoma mjini, Dk Aman Kabourou aliyefariki  usiku Machi 6, 2018 katika hospitali ya taifa ya Muhimbili

Kabourou anatarajiwa kuzikwa kesho majira ya mchana  mkoani Kigoma na mwili wake utasafirishwa leo kwa ndege.


 Dk Aman Kabourou

About Author Matukio360

Matukio360 ni sehemu pekee inayokuletea matukio ya moto moto kutoka pande zote za dunia katika wakati ule ule yalipotokea yaani mubashara. Habari ni za uhakika na zilizofanyiwa uchunguzi wa kina na kuandikwa kwa ueledi mkubwa na sio ukanjanja. Usibanduke katika ukurasa huu wa Matukio360, wajulishe na marafiki zako sasa wajipatie habari za uhakika.

No comments:

Post a Comment

Leo leo Plus

Start typing and press Enter to search