Mamlaka hali ya hewa yatahadharisha mvua kubwa....soma habari kamili na matukio360...#share

Na mwandishi wetu,Dar es salaam

MAMLAKA ya hali ya hewa imetangaza uwepo wa mvua kubwa katika maeneo ya mikoa ya Kusini (Lindi na Mtwara).


Mkurugenzi mtendaji mamlaka ya hali ya hewa(TMA) Dk. Agness Kijazi 

Taarifa Na. 201803-02

Daraja la Taarifa: Tahadhari
Kuanzia:
Tarehe 02 Machi 2018, usiku wa leo
Mpaka:
Tarehe 04 Machi, 2018
Aina ya Tukio Linalotarajiwa Vipindi vya mvua kubwa inayozidi milimita 50 ndani ya saa 24
vinatarajiwa.
Kiwango cha uhakika: Juu: (80%)
Maeneo yatakayoathirika Maeneo mengi ya mikoa ya Lindi na Mtwara
Maelezo: Hali hii inatokana na kuwepo na kuimarika kwa ukanda wa
mvua (Inter Tropical Convergency Zone –ITCZ
Angalizo:
Wakazi wa maeneo yaliyotajwa wanashauriwa kuchukua
tahadhari stahiki na kuendelea kufuatilia taarifa pamoja na
tahadhari zinazotolewa.

Imetolewa na
Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania.

About Author Matukio360

Matukio360 ni sehemu pekee inayokuletea matukio ya moto moto kutoka pande zote za dunia katika wakati ule ule yalipotokea yaani mubashara. Habari ni za uhakika na zilizofanyiwa uchunguzi wa kina na kuandikwa kwa ueledi mkubwa na sio ukanjanja. Usibanduke katika ukurasa huu wa Matukio360, wajulishe na marafiki zako sasa wajipatie habari za uhakika.

No comments:

Post a Comment

Leo leo Plus

Start typing and press Enter to search