WADAU WATARAJIA KITU TOFAUTI KUTOKA TECNO

KUFUATIA ongezeko la matumizi ya simu za mkononi, makampuni mbali mbali yamekua yakija na matoleo tofauti ili kufanya vema sokoni,TECNO wakiwa ndo kampuni pendwa zaidi katika kuzalisha kile kinachomstahili mteja

Tayari pameshakua na minong’ono ya hapa na pale baina ya wadau wa simu janja “smart phone” ikiinyooshea vidole kampuni ya TECNO, kwa kuihusisha kampuni hiyo na ujio wa toleo jipya ambayo ni muendelezo wa Camon

Mbali na picha mbalimbali zilizozagaa mtandaoni zikionesha muonekano tofauti wa simu hiyo mpya kuzinduliwa, tayari kurasa za mitandaoni zimezua mijadala inayokosa majibu sahihi kuhusiana na simu hiyo, baadhi wakiifananisha simu hiyo mpya kutoka TECNO na zile za kampuni ya Samsung na Apple.
Wadau wamekua na shauku ya kutaka kujua ni kitu gani cha tofauti ambacho TECNO wameweza kukiongeza kwenye toleo hilo jipya

Kwa maelezo zaidi tembelea tovuti ya http//www.tecno-mobile.com/tz

About Author Matukio360

Matukio360 ni sehemu pekee inayokuletea matukio ya moto moto kutoka pande zote za dunia katika wakati ule ule yalipotokea yaani mubashara. Habari ni za uhakika na zilizofanyiwa uchunguzi wa kina na kuandikwa kwa ueledi mkubwa na sio ukanjanja. Usibanduke katika ukurasa huu wa Matukio360, wajulishe na marafiki zako sasa wajipatie habari za uhakika.

No comments:

Post a Comment

Leo leo Plus

Start typing and press Enter to search