Wambura aburuzwa kamati ya maadili TFF...soma habari kamili na matukio360...#share
Na Mwandishi Wetu, Dar es Salaam
KAMATI ya maadili ya TFF inakutana leo
Machi 14, 2018 pamoja na mambo mengine kujadili suala la Makamu wa Rais wa
Shirikisho hilo, Michael Wambura, aliyefikishwa kwenye kamati kwa makosa matatu.

Kwa mujibu wa Afisa Habari wa TFF, Clifford Ndimbo, amesema kuwa kosa la kwanza analokabiliwa nalo Wambura ni kupokea fedha za TFF. Pili, malipo yasiyo halali na tatu ni kugushi barua na kushusha hadhi ya TFF.

No comments:
Post a Comment