Yanga kuikabili Welayta Dicha ya Ethiopia.... soma habari kamili na matukio360...#share

Na mwandishi wetu
Mabingwa watetezi wa ligi kuu Tanzania bara, Yanga itaikabili timu ya Welayta Dicha ya Ethiopia katika hatua ya mtoani ya kombe la shirikisho barani Afrika.
Ratiba kamili:
1 Zanaco vs Raja Casablanca
2 Vita club vs Cm lamacha Congo
3 St George vs Carra Brazzaville
4 El Hilal vs Akwa united
5 Super Sports Vs Gormahia
6 El bayt Vs Songo Mozambique
7 Usmer Alger Vs Cotton United
8 Enyimba vs Vits South
9 Ghana Vs Bouser Malagasy
10 Young African Vs Welayta Dicha Ethiopia
No comments:
Post a Comment