Ngongoro heroes yainyuka Msumbiji 2-1...soma habari kamili na matukio360...#share



Na Mwandishi Wetu, Dar es Salaam
TIMU ya Taifa ya vijana chini ya miaka 20 “Ngorongoro Heroes” imeibuka na ushindi wa goli 2-1 dhidi ya vijana wenzao wa Msumbiji.

Mchezo huo wa kirafiki uliochezwa jioni hii katika dimba la uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam umeshuhudiwa magoli hayo ya Ngorongoro Heroes yakifungwa na Abdul Suleima dakika ya 35 na Said Mussa Bakari dakika ya 71 huku la Msumbiji likifungwa na Lionel Victor dakika 13 (p).

About Author Matukio360

Matukio360 ni sehemu pekee inayokuletea matukio ya moto moto kutoka pande zote za dunia katika wakati ule ule yalipotokea yaani mubashara. Habari ni za uhakika na zilizofanyiwa uchunguzi wa kina na kuandikwa kwa ueledi mkubwa na sio ukanjanja. Usibanduke katika ukurasa huu wa Matukio360, wajulishe na marafiki zako sasa wajipatie habari za uhakika.

No comments:

Post a Comment

Leo leo Plus

Start typing and press Enter to search