ALICHOKISEMA 'LEMUTUZ' BAADA YA KAMATI YA NAPE KUKABIDHI RIPOTI!

  • lemutuz_nationLIVE STRAIGHT TALK:- Wananchi wengi sana wananiomba msimamo wangu Kuhusu habari za Kamati au Tume ya Waziri .....hahahahaha......HUU HAPA .....nijuavyo mimi katika Tanzania Rais wa Jamhuri alisema haya mambo ya kelele za RC yamekwisha yaani the FACT is ameyakataa makelele yote yanayomuhusu RC wa Dar @paulmakonda ...na nijuavyo mimi Rais wa Jamhuri akishasema YAMEISHA yanatakiwa kuisha ....now nasikia kuna Tume ya Waziri inayosema hayajaisha ...now Waziri muhusika ni rafiki yangu sana ninataka kuamini kuwa anajua anachokifanya na hiyo Tume nzima ....ila cha ajabu aliyezumgumza kwa niaba ya Tume ndiye huyo huyo Boss wa gazeti la Jamhuri ambalo jana limemtukana sana RC wa Dar na leo ndiye huyo huyo aliyekuwa akitangaza hukumu ya kazi aliyoifanya na Tume yake .....hahahaha ....well, may be kuna something sikijui kuhusu anayepelekewa hiyo Ripoti maana nina wasi wasi kwamba ninayajua majibu tayari na ninaomba nisitabiri mpaka yatakapotolewa na Mamlaka inayopelekewa hiyo Hukumu ya ripoti ya tume ....huo ndio MSIMAMO WANGU kama huupendi pole sana ila ndio MSIMAMO WANGU kama unaupenda tupo pamoja sana ....ila to me Vita iliisha Jumatatu Mkuu wa Nchi alipoimaliza now naomba kujionea kama kuna Wakuu wa Nchi wawili maana ninayemjua alisema yameisha....hahahahahaa.....jamani Jioni njema sana U know! - le Mutuz Nation


    Source: Instagram 

About Author Matukio360

Matukio360 ni sehemu pekee inayokuletea matukio ya moto moto kutoka pande zote za dunia katika wakati ule ule yalipotokea yaani mubashara. Habari ni za uhakika na zilizofanyiwa uchunguzi wa kina na kuandikwa kwa ueledi mkubwa na sio ukanjanja. Usibanduke katika ukurasa huu wa Matukio360, wajulishe na marafiki zako sasa wajipatie habari za uhakika.

No comments:

Post a Comment

Leo leo Plus

Start typing and press Enter to search