VIDEO... LISSU ATUA ARUSHA KWA PRIVATE JET!! APOKEWA UKUMBINI KWA NDEREMO NA SHANGWE!!!
Mbunge wa Singida Mashariki ambaye pia ni Mwanasheria wa CHADEMA na mgombea wa Urais wa Tanganyika Law Society (TLS) Tundu Lissu ambaye awali alisomewa mashtaka 5 kuhusu maneno ya uchochezi aliyotoa ktk uchaguzi wa Dimani, Zanzibar ametua mjini Arusha kwa ndege maalum akitokea Mahakamani jijini Dar es Salaam amabako mchana huu ameachiwa kwa dhamana ya milioni 10..endelea kufuatilia hapa kwa taarifa za kina...
Source: Tanzaniampyamatukio.blogspot.com



No comments:
Post a Comment