VIDEO: “Siasa sio kupigana ni kupingana kwa hoja”- Edward Lowassa

March 16 2017 viongozi wakuu wa kamati kuu CHADEMA walikuwa kwenye majimbo ya mkoa wa Pwani ambapo timu ya mjumbe wa kamati kuu na waziri mkuu mstaafu mstaafu Edward Lowassa walikuwa Jimbo la Mkuranga na katika mkutano huo Edward Lowasa amesema ………
“Siasa sio kupigana ni kupingana bila kupigana, tunapingana kwa hoja, ukinishinda kwa hoja basi nakushukuru, nikikushinda na wewe nenda, tukianza kutafutana hivi kwa sababu tumetofautiana vyama, vyama ni vyombo vya kutupeleka tunapotaka sio kitu cha msingi, mama Tanzania atakuwepo vyama vitapita”-Edward Lowassa
Kujua zaidi alichokisema kwenye mkutano huo bonyeza play hapo chini .


Source: Millardayo.com

About Author Matukio360

Matukio360 ni sehemu pekee inayokuletea matukio ya moto moto kutoka pande zote za dunia katika wakati ule ule yalipotokea yaani mubashara. Habari ni za uhakika na zilizofanyiwa uchunguzi wa kina na kuandikwa kwa ueledi mkubwa na sio ukanjanja. Usibanduke katika ukurasa huu wa Matukio360, wajulishe na marafiki zako sasa wajipatie habari za uhakika.

No comments:

Post a Comment

Leo leo Plus

Start typing and press Enter to search