BREAKING NEWS!! Lissu aukwaa uraisi TLS..
Mwanasheria Mkuu Wa Chadema Tundu Lissu ameshinda kiti cha Raisi wa TLS kwa kupata kura 1411 kati ya kula 1682 zilizopingwa leo asubuhi katika jiji Arusha.
Alikuwa anagombea nafasi ya Raisi wa Chama Cha Wana sheria (TLS) na kwamba ushindi wa Lissu ni sawa na asilimia 80.
Mapema jana mgombea mwengine wa nafasi hiyo bwana Lawrence Masha alijiengua katika kipute hicho hatua iliyotafsiriwa kumpa afuweni mshindi huyo mpya wa nafasi ya uraisi wa TLS.
Na. Mwandishi maalum.




No comments:
Post a Comment