NEWS ALERT !! MAHAKAMA YAPIGA 'STOP' MADAKTARI KWENDA KENYA !

Mahakama nchini Kenya imeizuia Serikali kuajiri Madaktari kutoka Tanzania kwa sababu ndani ya nchi hiyo kuna Madaktari 1,400 wasioajiliwa.
Kufuatia tangazo rasmi la Serikali juu ya uwepo wa fursa hiyo, Madaktari zaidi ya 180 walishajitokeza kuomba nafasi hizo. 

Source: Daily Nation Online!

About Author Matukio360

Matukio360 ni sehemu pekee inayokuletea matukio ya moto moto kutoka pande zote za dunia katika wakati ule ule yalipotokea yaani mubashara. Habari ni za uhakika na zilizofanyiwa uchunguzi wa kina na kuandikwa kwa ueledi mkubwa na sio ukanjanja. Usibanduke katika ukurasa huu wa Matukio360, wajulishe na marafiki zako sasa wajipatie habari za uhakika.

No comments:

Post a Comment

Leo leo Plus

Start typing and press Enter to search