RAIS MAGUFULI AFANYA ZIARA YA KUSHTUKIZA BANDARI YA DAR ES SALAAM, ABAINI 'UOZO' WA KUTISHA!!
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli leo tarehe 23 Machi, 2017 amefanya ziara ya
kushtukiza katika bandari ya Dar es Salaam kwa lengo la kufuatilia utekelezaji
wa maelekezo aliyoyatoa kwa nyakati tofauti juu ya kudhibiti udanganyifu wa
mizigo inayoingia na kutoka nchini kupitia bandari hiyo ikiwemo usafirishaji wa
mchanga wa madini kwenda nje ya nchi.

Katika
ziara hiyo Mhe. Rais Magufuli ameshuhudia makontena 20 ya mchanga wenye madini
kutoka kwenye migodi iliyopo kanda ya ziwa ambayo yamezuiliwa kusafirishwa nje
ya nchi tangu alipotoa agizo la kupiga marufuku usafirishaji wa mchanga nje ya
nchi tarehe 02 Machi, 2017........
Tanzania mpya: imekuwekea ujionee mwenyewe yaliyojiri jana wakati wa ziara hiyo ya mhe. Rais....
Mhe. Rais akiongea mara baada ya kujionea 'madudu' wakati wa ziara yake katika bandari ya dar es Salaam jana.
Mhe. Rais Dkt. Makufuli akionyeshwa moja ya makontena yaliyodaiwa kufanyiwa udanganyifu.
Rais Magufuli akiendelea na ukaguzi wake katika kitengo cha makontena kufuatia ziara yake ya kushtukiza aliyoifanya bandarini jana.

No comments:
Post a Comment