UTEUZI: RAIS DKT. MAGUFULI ATEUA KATIBU MKUU MPYA IKULU.. NI KIDATA WA TRA...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,Dr. John P. J. Magufuli amemteua Ndugu Alfayo Kidata kuwa Katibu Mkuu-Ikulu.
Kidata anachukua nafasi ya Ndugu Peter Ilomo aliyestaafu.
Kabla ya uteuzi huo,Kidata alikuwa Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Mapato
Tanzania-TRA. Nafasi ya TRA itajazwa baadaye




No comments:
Post a Comment