UTEUZI: MRITHI WA KIDATA WA TRA APATIKANA

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli, leo tarehe 25/03/2017 amemteua  Bw. Charles Edward Kichere kuwa Kamishna Mkuu Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA).


Pitia Taarifa kamili hapa chini kwa hisani ya Kurugenzi ya Mawasiliano Ikulu.


[​IMG]

About Author Matukio360

Matukio360 ni sehemu pekee inayokuletea matukio ya moto moto kutoka pande zote za dunia katika wakati ule ule yalipotokea yaani mubashara. Habari ni za uhakika na zilizofanyiwa uchunguzi wa kina na kuandikwa kwa ueledi mkubwa na sio ukanjanja. Usibanduke katika ukurasa huu wa Matukio360, wajulishe na marafiki zako sasa wajipatie habari za uhakika.

No comments:

Post a Comment

Leo leo Plus

Start typing and press Enter to search