BREAKING NEWS!! BANDARI WANASA KONTENA 262 ZA 'MCHANGA WA DHAHABU'


  • NI KUFUATIA AMSHA-AMSHA MPYA YA RAIS MAGUFULI 
  • ZILIHIFADHIWA BANDARI YA MOFAD

Mamlaka ya Bandari Tanzania TPA imekamata makontena 262 yenye mchanga wa dhahabu ambao ulikuwa unasafirishwa nje ya nchi.

Hatua hiyo imekuja siku mbili baada ya Raisi John Magufuli kufanya ziara katika Bandai hiyo na kujienea madudu katika Bandai hiyo ikiwemo kontena lililosomeka kubabe mzigo wa mitumba likiwa limebeba gari.

Mkurugenzi Mkuu wa TPA, Deusdedit Kakoko alisema mchanga huo ulikuwa wa mgodi wa Buzwag na kwamba mchanga huo ulikuwa umehifaahiwa katika bandari ya Mofad.
Amesema bandari itaendelea na msako kwenye ICDs zote kwa ajili kutafuta wahalifu hao.

Kwa taarifa zaidi endelea Kuna nasi ili uweze kupata matukio 'Mubashara' kadri yanavyotufikia kupitia mtandao wako wa matukio: www.tanzaniampyamatukio.blogspot.com.

Na: Mwandishi Maalum.


About Author Matukio360

Matukio360 ni sehemu pekee inayokuletea matukio ya moto moto kutoka pande zote za dunia katika wakati ule ule yalipotokea yaani mubashara. Habari ni za uhakika na zilizofanyiwa uchunguzi wa kina na kuandikwa kwa ueledi mkubwa na sio ukanjanja. Usibanduke katika ukurasa huu wa Matukio360, wajulishe na marafiki zako sasa wajipatie habari za uhakika.

No comments:

Post a Comment

Leo leo Plus

Start typing and press Enter to search