VIDEO: KAMATI YA MAADILI YAKAMILISHA KAZI, SASA KUWASILISHA RIPOTI KWA SPIKA !

FUATILIA KAULI YA MWENYEKITI BAADA YA KUKAMILISHA KAZI YA KUMUHOJI RC MAKONDA ! 
Jana March 29 2017 Kamati ya Haki, maadili na madaraka ya Bunge ilimuhoji Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam Paul Makonda anayetuhumiwa kuingilia haki, uhuru na madaraka ya bunge kufuatia kauli yake ya kwamba wabunge wanasinzia Bungeni jambo lililotafsiriwa kudharau chombo hicho.
Mwenyekiti wa kamati ya kudumu ya bunge ya haki, maadili na madaraka George Mkuchika amethibitisha kuhojiwa kwa RC Makonda na kuahidi kuiwasilisha ripoti kwa Spika wa Bunge Job Ndugai aliyewatuma kumuhoji.


Source: Millard Ayo

About Author Matukio360

Matukio360 ni sehemu pekee inayokuletea matukio ya moto moto kutoka pande zote za dunia katika wakati ule ule yalipotokea yaani mubashara. Habari ni za uhakika na zilizofanyiwa uchunguzi wa kina na kuandikwa kwa ueledi mkubwa na sio ukanjanja. Usibanduke katika ukurasa huu wa Matukio360, wajulishe na marafiki zako sasa wajipatie habari za uhakika.

No comments:

Post a Comment

Leo leo Plus

Start typing and press Enter to search