VIDEO: KUAPISHWA KWA DKT. MWAKIEMBE; WADAU WAELEZA MATARAJIO,WATAKA MABADILIKO;
“Kiukweli tulimzoea na kuna mambo mengi amefanya lakini pia siwezi kumzungumzia sana Waziri mpya Dr Mwakyembe kwa sababu ndio kwanza ameteuliwa kuwa Waziri wa Wizara hiyo. Tunatarajia au matumaini yetu sisi atafanya kazi ataleta mabadiliko.
“Kikubwa sisi tumempokea na pia tunaomba akutane na sisi wadau wa filamu tumueleze changamoto zinazotukabili, wasanii tumechoka ahadi sasa Dr Mwakyembe tunataka mabadiliko kwenye sekta ya filamu.” – Simon Mwakifwamba
![]() |
Rais wa shirikisho la Filamu Tanzania Simon Mwakifwamba |
Msikilize Rais wa Shirikisho la Filamu Tanzania Simon Mwakifwamba alezungumza baada ya kuapishwa kwa Waziri mpya wa Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Dr Mwakyembe alieteuliwa katika wizara hiyo kumtaka alete mabadiliko.
PIA ITAZAME HII VIDEO YA HARMO RAPA KUTIMUA MBIO BAADA YA KUONA KITU CHA BASTOLA, UJUE NI KWA NINI ALIAMUA KUFANYA HIVYO...
Video na picha kwa hisani ya: Millard Ayo Online platform...




No comments:
Post a Comment