AFYA YA JAMII: Ufahamu ugonjwa unaosasabisha vifo vingi zaidi ya UKIMWI na TB duniani

Shirika la Afya Duniani ‘WHO’ limetoa angalizo kuchukulliwa tahadhari zaidi kupambana na ugonjwa wa ini.
Katika ripoti yake ya kwanza ya dunia kuhusu maambukizi ya ugonjwa huo, WHO imesema idadi kubwa ya watu kufariki kutokana na ugonjwa wa ini ambao unaweza kutibika unaosababishwa na matumizi ya pombe na dawa, inaongezeka.
Ugonjwa wa ini unaaminika kupoteza maisha ya watu 1.34 million mwaka 2015, idadi sawa na ile ya waliokufa kwa TB na UKIMWI, lakini wakati vifo vitokanavyo na UKIMWI na TB vikipungua, vifo vitokanavyo na ugonjwa wa ini vinaongezeka – ambapo vimeongezeka kwa 22% tangu kuanza kwa karne hii huku zaidi ya watu 325 million ambao wameathirika na ugonjwa huo hawajui kuwa wana virusi vya ugonjwa huo.
Mkurugenzi Mkuu wa WHO Margaret Chan amesema: “Ugonjwa wa ini sasa ni changamoto kubwa kwa afya ya jamii ambapo inahitaji juhudi za makusudi

About Author Matukio360

Matukio360 ni sehemu pekee inayokuletea matukio ya moto moto kutoka pande zote za dunia katika wakati ule ule yalipotokea yaani mubashara. Habari ni za uhakika na zilizofanyiwa uchunguzi wa kina na kuandikwa kwa ueledi mkubwa na sio ukanjanja. Usibanduke katika ukurasa huu wa Matukio360, wajulishe na marafiki zako sasa wajipatie habari za uhakika.

No comments:

Post a Comment

Leo leo Plus

Start typing and press Enter to search