BREAKING NEWS! RUNGU LA TFF LAMUANGUKIA HAJI MANARA!
Manara wa Simba aliitwa na kamati ya maadili ya TFF kwa tuhuma za makosa matatu ambayo yote ndio adhabu zake zimetangazwa na makamu mwenyekiti wa kamati ya nidhamu ya TFF wakili Jerome Msemwa, msemaji wa Simba aliyatenda makosa hayo April 19 katika mkutano na waandishi wa habari.
VIDEO: Kama ulikosa press ya Manara iliyofanya afungiwe miezi 12 na faini ya Tsh Milioni 9
Source: Millard ayo



No comments:
Post a Comment