#Eng. Masauni asema "tutachukua hatua kwa wanaofanyia fujo waandishi!

Naibu Waziri wa mambo ya ndani ya nchi Eng Hamad Masauni amesema kumekuwa na matukio ya Jeshi la Polisi, waandishi wa habari pamoja na wananchi wa kawaida kufanyiwa fujo na baadhi ya watu hivyo serikali itahakikisha inachukua hatua kali za kisheria kwa watuhumiwa.
bofya hapa kusikiliza...
No comments:
Post a Comment