KAMA ULIPITWA NA KIPINDI CHA MASWALI NA MAJIBU BUNGENI LEO TAREHE 06/04/2017 TUMEKUWEKEA HAPA !

Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania linaendelea na vikao vyake mjini Dodoma ambapo leo April 6 2017 linaendelea na Kikao cha tatu katika Mkutano wa Saba likiwa ni Bunge la Kumi na Moja. Bonyeza play hapa chini kutazama LIVE
Source: millard ayo

About Author Matukio360

Matukio360 ni sehemu pekee inayokuletea matukio ya moto moto kutoka pande zote za dunia katika wakati ule ule yalipotokea yaani mubashara. Habari ni za uhakika na zilizofanyiwa uchunguzi wa kina na kuandikwa kwa ueledi mkubwa na sio ukanjanja. Usibanduke katika ukurasa huu wa Matukio360, wajulishe na marafiki zako sasa wajipatie habari za uhakika.

No comments:

Post a Comment

Leo leo Plus

Start typing and press Enter to search