MAALIM SEIF ASEMA "SIMTAMBUI LIPUMBA, SI MWENYEKITI WA CUF.."

Katibu mkuu wa chama cha wananchi CUF Maalim Seif jana amefanya mahojiano na kituo cha Television cha Azam two na kusema hamtambui mwenyekiti wa chama hicho Pro. Ibrahim Lipumba pamoja na uwamuzi aliochukuwa wakumuweka kando na nafasi yake kukaimiwa na Magdalena Sakaya.
Malim Seif ameongezea kwa kusema hawezi kwenda ofisi za Buguruni daresalam kwa kuwa makao makuu ya chama hicho yapo Zanzibar.
Bonyeza Play hapa chini kutazama..



Source: Millard Ayo

About Author Matukio360

Matukio360 ni sehemu pekee inayokuletea matukio ya moto moto kutoka pande zote za dunia katika wakati ule ule yalipotokea yaani mubashara. Habari ni za uhakika na zilizofanyiwa uchunguzi wa kina na kuandikwa kwa ueledi mkubwa na sio ukanjanja. Usibanduke katika ukurasa huu wa Matukio360, wajulishe na marafiki zako sasa wajipatie habari za uhakika.

No comments:

Post a Comment

Leo leo Plus

Start typing and press Enter to search