VIDEO: ‘Watu walijaribu kunirushia chupa’-Harmorapa

Baada ya msanii Harmorapa kutupiwa chupa kwenye stage April 2 2017 na shabiki wakati akifanya show, jana tarehe 3/04/2017 Harmorapa alihojiwa na Ayo TV Entertaiment na kuelezea kisa kizima jinsi ilivyokuwa...
‘Ni kweli nilikuwa na show ambapo nilipigwa na chupa unajua ile chupa ilivyokuwa inakuja niliikwepa yaani baada ya pale mood yote iliisha ya kufanya show maana ndio show ilikuwa imeanza sijui kwanini watu wananirushia chupa au wanataka mimi nikawe kibaka mtaani maana mimi pale natafuta pesa‘>>>Harmorapa
Source: Millard Ayo
No comments:
Post a Comment