MATUKIO BUNGENI: BASHE ATOA 'KAULI TATA' BUNGENI; ASEMA IKIBIDI 'NIKO TAYARI KUTOLEWA KWENYE CHAMA'..!!



Mbunge wa Nzega mjini, Hussein Bashe leo April 11 2017 amesimama bungeni kuomba taarifa kwa mwenyekiti wa bunge baada ya waziri wa TAMISEMI, George Simbachawene kumtaka mbunge wa Kigoma mjini Zitto Kabwe kuthibitisha tuhuma zake kwamba usalama wa taifa wamekuwa wakiwakamata watu kinyume cha sheria.
Mbunge Hussein Bashe akasiamam na kusema…..>>>’CCM acheni unafiki mimi nimeshakamatwa na watu wa usalama mnasema hawakamati, kwa hili nipo tayari mniondoe kwenye chama’
'CCM acheni unafiki mimi nimeshakamatwa na watu wa usalama mnasema hawakamati, kwa hili nipo tayari mniondoe kwenye chama' >>> Hussein Bashe

Source: Millard Ayo 

About Author Matukio360

Matukio360 ni sehemu pekee inayokuletea matukio ya moto moto kutoka pande zote za dunia katika wakati ule ule yalipotokea yaani mubashara. Habari ni za uhakika na zilizofanyiwa uchunguzi wa kina na kuandikwa kwa ueledi mkubwa na sio ukanjanja. Usibanduke katika ukurasa huu wa Matukio360, wajulishe na marafiki zako sasa wajipatie habari za uhakika.

No comments:

Post a Comment

Leo leo Plus

Start typing and press Enter to search