MATUKIO BUNGENI: KAMA ULIPITWA NA MCHANGO WA MBUNGE HUSSEIN BASHE KWENYE HOTUBA YA BAJETI YA WAZIRI MKUU
Kati ya wabunge waliopata nafasi ya kusimama kuchangia mapitio ya mapato na matumizi ya fedha za ofisi ya Waziri mkuu na ofisi ya bunge kwa mwaka wa fedha 2017/2018 ni pamoja na Mbunge wa Nzega mjini Hussein Bashe ambaye baadhi ya mambo aliyozungumzia ni pamoja na hali ya uchumi wa nchi pamoja na tatizo la Serikali kushindwa kusimamia migodi mikubwa kusaidia nchi kujipatia mapato.
Collected from: Millard Ayo



No comments:
Post a Comment