MATUKIO FLASHBACK..!! ZITTO KABWE 'SIJAWA NA MAHESABU YA KUGOMBEA URAIS 2020..'


Kiongozi mkuu wa chama cha ACT wazalendo katika mahojiano maalum amesema mwaka 2020 kuwa hajapiga hesabu zakugombea urais amesema atakaa na vyama vya upinzani na kumsimamisha mgombea mmoja, mgombea huyo anaweza akatoka chama chochote kati ya Chadema, CUF,NCCR Mageuzi au ACT.

Alipoulizwa kama anaukubali UKAWA kama muungano thabiti amesema wataunda umoja mwingine kwa sababu ule ulikuwa ni kwa ajili ya mambo ya katiba.



Source: JF

About Author Matukio360

Matukio360 ni sehemu pekee inayokuletea matukio ya moto moto kutoka pande zote za dunia katika wakati ule ule yalipotokea yaani mubashara. Habari ni za uhakika na zilizofanyiwa uchunguzi wa kina na kuandikwa kwa ueledi mkubwa na sio ukanjanja. Usibanduke katika ukurasa huu wa Matukio360, wajulishe na marafiki zako sasa wajipatie habari za uhakika.

No comments:

Post a Comment

Leo leo Plus

Start typing and press Enter to search