SIMBA 'YAPOKWA' POINT 3 ZA WATU!
Kamati ya sheria, Katiba na Hadhi za wachezaji umezifuta pointi 3 ilizopewa timu ya Simba SC kwenye mchezo dhidi ya Kagera Sugar
Maamuzi hayo yametangazwa leo na Katibu Mkuu wa TFF Selestin Mwesigwa katika ukumbi wa habari wa TFF
Sababu za kufutwa kwa pointi hizo ni kucheleshwa kwa malalamiko ya Simba Sc dhidi ya Kagera Sugar, Simba SC kushindwa kulipia ada ya kukata rufaa kwa maamuzi ya mechi hiyo na kukosekana kwa uhalali wa kamati ya saa 72 kwa kuwahusisha wajumbe waaliikwa ambao hawakutakiwa kuwepo kwenye kamati hiyo
SC.
No comments:
Post a Comment