SIKILIZA ALICHOSEMA MHE RIDHIWANI KUFUATIA KUTUHUMIWA KWA MANJI!
Leo April 23 2017 Ridhiwani Kikwete ambaye ni Mbunge wa Chalinze amezungumzia swala la Yusuph Manji ambaye alikamatwa kwa ajili ishu ya matumizi ya Dawa za Kulevya.
‘Sioni kama ni sawa kumkamata Yusuph Manji kuwa anatumia dawa za kulevya wakati kuna watu kama Ray C na kuna wengine wanapanga mstari kila siku Mwananyamala kwa ajili ya kuchukua Methadone’>>>Riddhiwani Kikwete.
Ayo tv



No comments:
Post a Comment