UMAHIRI KIWANJANI: TUMEPOKEA VIDEO HIZI MBILI KWA HISANI KUBWA YA 'MTU WA NGUVU' MILLARD AYO..
Moja kati ya majina yaliojipatia umaarufu na heshima kubwa katika soka ni Zinedine Zidane na Ronaldinho ambao uwezo wao umeifanya dunia ya soka kutokusahau mchango wao, Zidane ni mahiri katika kucheza mpira na kufanyia mbwembwe kama ilivyo kwa Ronaldinho.
HEBU JIKUMBUSHE KIDOGO... PIA USISAHAU KUMUANGALIA MBWANA SAMATA AKIFANYA VITU VYAKE KATIKA MECHI YA STARS NA BOTSWANA...
ALL GOALS: Taifa Stars vs Botswana March 25 2017, Full Time 2-0
No comments:
Post a Comment