VIDEO: HEBU PATA HIZI MBILI KUBWA ZA MBUNGE SUZANE MAKENE ... MOJA NI ILE YA KIJIJI CHA 'KOROMIJE' KAMA ILIKUPITA..!

Mbunge wa viti maalum kwa  mkoa wa Mwanza Susanne Makene amepokea taarifa ya polisi kuhusu zuio la mkutano wa hadhara eneo la Pasiansi Mwanza.
Sababu zilizoelezwa ni kuwa Mbunge wa jimbo la Ilemela atakuwa na mkutano eneo hilo, sababu nyingine ni za kiusalama, Mbunge Susanne Makene amezungumza na AyoTVna millardayo.com alivyoipokea taarifa hiyo ya Jeshi la Polisi wilaya ya Ilemela. Bonyeza play hapa chini kuitazama.

VIDEO: ‘Kijiji cha Koromije sivyo ambavyo watu wanavyofikiri’-Mbunge Susanne, Bonyeza play hapa chini kuitazama

About Author Matukio360

Matukio360 ni sehemu pekee inayokuletea matukio ya moto moto kutoka pande zote za dunia katika wakati ule ule yalipotokea yaani mubashara. Habari ni za uhakika na zilizofanyiwa uchunguzi wa kina na kuandikwa kwa ueledi mkubwa na sio ukanjanja. Usibanduke katika ukurasa huu wa Matukio360, wajulishe na marafiki zako sasa wajipatie habari za uhakika.

No comments:

Post a Comment

Leo leo Plus

Start typing and press Enter to search