#Ali Mussa Amri Nalyamba: Kipofu Shabiki Nguli wa Mpira wa Miguu asiekosa Mechi Uwanjani!!
Tunajua raha ya soka ni kulitazama lakini kuna Shabiki mkubwa wa soka Tanzania ambaye macho yake hayaoni kabisa lakini huwa hakosi kwenda uwanja wa Taifa kila kunapokua na mechi. Fuatilia Mahojiano haya kwa hisani kubwa ya Ayo Tv.
No comments:
Post a Comment