Breaking News!! Laptop yalipuka ndani ya Ndege Abiria 158 wamenusurika #SHARE




Hali ya taharuki imewakumba Abiria 158 waliokuwa wakisafiri kwenye Ndege aina ya JetBlue iliyokuwa ikifanya safari yake kutoka Uwanja wa JFKennedy kuelekea California na kulazimika kutua kwa dharura katika Uwanja wa Grand Rapids  Michigan baada ya Laptop ya Abiria mmoja kushika moto wakati ndege ikiwa umbali wa 38,000 Miles kutoka usawa wa bahari.
Cabin Crew wa ndege hiyo ambayo awali ilianzia safari yake siku ya j'nne Jijini Fransisco, walisema walihisi hali isiyokuwa ya kawaida ndipo wakalazimika kuanza msako. "hali ya moshi mwingi ilijitokeza karibu na kiti na. 38, ndio tulipoamua kutua kwa dharura kukabiliana na hali hiyo, na Mungu si Athumani tulifanikiwa kuidhibiti kabla ndege haijafika ardhini" alidokeza.
Abiliria walipohojiwa walithibitisha kukumbwa na taharuki lakini hawakujua la kufanya maana hakukuwa na Tahadhari yoyote kutoka kwa Rubani!!


About Author Matukio360

Matukio360 ni sehemu pekee inayokuletea matukio ya moto moto kutoka pande zote za dunia katika wakati ule ule yalipotokea yaani mubashara. Habari ni za uhakika na zilizofanyiwa uchunguzi wa kina na kuandikwa kwa ueledi mkubwa na sio ukanjanja. Usibanduke katika ukurasa huu wa Matukio360, wajulishe na marafiki zako sasa wajipatie habari za uhakika.

No comments:

Post a Comment

Leo leo Plus

Start typing and press Enter to search