Kitita cha 220 Bilioni chamsubiri Coutinho Barcelona; anakuwa mchezaji ghali wa 4 katika historia ya uhamisho wa Wachezaji soka Ulimwenguni !
Kwa uhamisho huo unamfanya Coutinho kuwa mchezaji wa 4 ghali katika historia ya mpira akiwafuata kwa karibu Paul Pogba(pound 89.3), Gareth Bale(pund 85.3), na King Cristian Ronaldo(pound89).
Coutinho anashika rekodi nzuri katika mechi zake 29 na liverpool akifunga magoli 10 na nafasi lukuki zilizozalisha magoli kwa wachezaji wenzake huku akiwa mchezaji aliepata kulipwa mshahara mkubwa zaidi katika historia ya 'the Reds'.
No comments:
Post a Comment