Ona wimbo wa 'Wapo Remix' kibao cha wachekeshaji wa Bukoba !
Wimba maarufu wa Wapo wa msanii Nay wa Mitego ambao ume-hit sana katika mitandao siku za karibuni. Wachekeshaji kundi moja mjini bukoba wameurudia wimbo huu kwa mandhari tofauti kabisaaa... hebu msikilize msanii Mkali wenu na wenzake akina Bwana Mjeshi, Ebitoke na Mama Ashura….credit: millardayo
No comments:
Post a Comment