Video: Leo ni leo Uwakilishi wa CHADEMA - EALA: My Hands-on Salum Mwalimu & Pamela Massay.

Wateule sita wa KAMATI Kuu ya CHADEMA kuwania nafasi mbili za Ubunge wa Bunge la Africa Mashariki (EALA) wanatarajiwa kupigiwa kura jioni ya leo katika kikao cha Bunge la jamhuri wa Muungano wa tanzania kujana nafasi hizo stahili kwa chama hicho chenye wa Bunge wengi wa kambi ya upinzani Bungeni.
Miongoni walipitishwa kujaza nafasi hizo mbili ni pamoja Ezekia Wenje na Lawrence Masha waliopigiwa kura za hapana katika uchaguzi uliopita.
Kamati Kuu ya Chadema miongoni mwa majina yaliyowasilishwa mbele ya Msimamizi wa uchaguzi huo ni pamoja na Naibu Katibu Mkuu wa Chama hicho Zanzibar, Salum Mwalimu, Makamu Mwenyekiti Taifa, Profesa Abdallah Safari, Josephine Lemoyan na Pamela Massay.


About Author Matukio360

Matukio360 ni sehemu pekee inayokuletea matukio ya moto moto kutoka pande zote za dunia katika wakati ule ule yalipotokea yaani mubashara. Habari ni za uhakika na zilizofanyiwa uchunguzi wa kina na kuandikwa kwa ueledi mkubwa na sio ukanjanja. Usibanduke katika ukurasa huu wa Matukio360, wajulishe na marafiki zako sasa wajipatie habari za uhakika.

No comments:

Post a Comment

Leo leo Plus

Start typing and press Enter to search