Ndugu msomaji, bila shaka ni ndoto yako siku moja kutembelea nchini China hususan Jiji kuu la Beijing lenye vivutio 'Lukuki'.
Jiji hili linapambwa na Majengo marefu na utamaduni asilia wa watu wa China. Jiji la Beijing ambako ndiko Makao Makuu ya Nchi hii kubwa duniani, mwaka huu limepata heshima ya kuandaa Kongamano kubwa kabisa wa Viongozi wa Dunia wanachama wa 'Mradi wa One Belt, One Road' utakaogharimu trillioni nyingi za fedha na kuziunganisha nchi za dunia nzima.
Kwa umuhimu huu wa Jiji hili kuu kabisa na lenye wakazi wengi zaidi Duniani, Blog yako ya Matukio, inakuletea yanayojiri wakati wa Mkutano huu ulioanza jana, sambamba na picha za matukio mbalimbali.
Hebu tuanze 'kujivinjari' katika viunga vya Jiji la Beijing tujionee kwa macho yetu mawili.
Endelea kubofya link yako: www.tanzaniampyamatukio.blogspot.com
|
No comments:
Post a Comment