Breaking News!! Adam Malima apandishwa Kizimbani Mchana huu !
Kwa mujibu wa ' charge sheet' kumbukumbu OB/RB/7306/2017 ambayo Tanzania Mpya imeiona, Malima amepandishwa kizimbani akitokea rumande kwa kosa la kutumia nguvu ya wananchi kuwazuia askari H.7818 PC Abdul na wenzake wa kampuni PBEL kufanya kazi zao wakiwa kwenye Doria ya kukamata magari yaliyoegeshwa ovyo maeneo ya Hotel ya Double Tree, Masaki Jijini Dar es Salaam.
Msikilize kamanda siro katika video hii tuliyoipata kwa hisani ya Ayo Tv.
No comments:
Post a Comment