PolePole alivyovuna wanachama wapya Arusha, atunuku vyeti kwa wahitimu wa vyuo !

Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi Vyuo na Vyuo Vikuu katika Mkoa wa Arusha  umekuwa na ugeni wa Katibu NEC Itikadi na Uenezi CCM Ndugu Humphrey Polepole ambaye amekuwa Mgeni Rasmi katika Mahafali ya Vijana wa CCM Vyuo na Vyuo Vikuu Mkoa wa Arusha .

Katika hatua nyingine ndugu Humphrey Polepole ametoa Vyeti kwa Wahitimu 268 na kupokea Wanachama Wapya wa CCM zaidi ya 65 na Kuwapa Kadi za Uanachama na kisha kuwaongoza kula kiapo cha uaminifu ndani ya CCM. Mahafali yaliyoudhuriwa na Wanachama 523.
pole2

About Author Matukio360

Matukio360 ni sehemu pekee inayokuletea matukio ya moto moto kutoka pande zote za dunia katika wakati ule ule yalipotokea yaani mubashara. Habari ni za uhakika na zilizofanyiwa uchunguzi wa kina na kuandikwa kwa ueledi mkubwa na sio ukanjanja. Usibanduke katika ukurasa huu wa Matukio360, wajulishe na marafiki zako sasa wajipatie habari za uhakika.

No comments:

Post a Comment

Leo leo Plus

Start typing and press Enter to search