Breaking news!! Hali yatibuka Kibiti.. #share Askari wapigwa risasi,.. mmoja afariki ..
Askari Polisi wa kikosi cha usalama wa Barabarani wilayani Kibiti ambae jina lake hajafahamika anahofiwa kuuwawa kwa kupigwa risasi na watu wasiojulikana katika kijiji cha Msafiri, Kata ya Bungu akiwa kazini na wenzake!
Mbali na kupigwa risasi na kuuawa kwa askari huyo, watu hao wamechoma moto gari moja na Pikipiki moja za askari hao kisha kutokomea kusikojulikana.
Matukio tutaendelea kukupasha kadri tutavyopata Taarifa za kina, endelea kuwa nasi..

No comments:
Post a Comment