Magazetini Leo 22/06/2017: Ziara ya JPM Pwani yaleta 'maafa' Dawasa,.. Mutalemwa aonyeshwa mlango wa kutokea.. #share.. Kibiti si shwari,.. Askari wawili wapigwa Risasi, wajeruhiwa!!

Upinzani hatarini,.. Wabunge wanaopinga hoja bungeni 'kukiona',.. Bodi ya Mikopo yasaka wadaiwa maofisini.. Cuf ya Lipumba sasa ni rasmi RITA yaitambua, mmoja akutwa na sare 5000 za JWTZ.. katika michezo.. Niyonzima aacha kilio Yanga..






























About Author Matukio360

Matukio360 ni sehemu pekee inayokuletea matukio ya moto moto kutoka pande zote za dunia katika wakati ule ule yalipotokea yaani mubashara. Habari ni za uhakika na zilizofanyiwa uchunguzi wa kina na kuandikwa kwa ueledi mkubwa na sio ukanjanja. Usibanduke katika ukurasa huu wa Matukio360, wajulishe na marafiki zako sasa wajipatie habari za uhakika.

No comments:

Post a Comment

Leo leo Plus

Start typing and press Enter to search