Breaking News: 'Watanzania' tumelipa faini kiasi cha Tshs. 1,676,730,000/ kutokana na makosa 52,616 ya kiusalama barabarani kwa kipindi cha 28/05/2017-18/06/2017 #share
Imeelezwa kuwa hali ya utendaji makosa ya Barabarani nchini Tanzania bado uko juu baada ya kufanyika kwa jumla ya makosa 52,616 ya kiusalama barabarani katika kipind cha kuanzia 28/05/2017 hadi 18/06/2017 ambapo kati ya makosa hayo 48,571 ni ya magari na 4045 ya pikipiki.
Akiongea na waandishi wa habari mchana huu, Makamo wa IGP Sirro, ameelezea jumla ya fine(tozo) zilizolipwa katika kipindi hicho kutokana na makosa hayo ni Tshs. 1,676,730,000/.
Alimalizia kwa kuwataka wananchi kutii sheria bila shuruti.

No comments:
Post a Comment