Breaking News: Rugemalila, Harbinder Sethi wamepandishwa Kizimbani mchana wa leo.. #share

Leo June 19, 2017 Taasisi ya Kupambana na Kuzuia na Rushwa ‘TAKUKURU’ ilitangaza kuwafikisha Mahakamani watuhumiwa wawili wa kesi za ESCROW na IPTL James Rugemarila na Harbinder Sethi kwa makosa ya uhujumu uchumi. Watuhumiwa hao wamefikishwa katika Mahakamani ya Hakimu Mkazi Kisutu, DSM.!
 

About Author Matukio360

Matukio360 ni sehemu pekee inayokuletea matukio ya moto moto kutoka pande zote za dunia katika wakati ule ule yalipotokea yaani mubashara. Habari ni za uhakika na zilizofanyiwa uchunguzi wa kina na kuandikwa kwa ueledi mkubwa na sio ukanjanja. Usibanduke katika ukurasa huu wa Matukio360, wajulishe na marafiki zako sasa wajipatie habari za uhakika.

No comments:

Post a Comment

Leo leo Plus

Start typing and press Enter to search