Good News!! Facebook waja na 'fb toto pack'' kuwashika vijana '#SHARE
Kuna habari njema ya uzinduzi wa App Mpya maalum kwenye mtandao wa Facebook kwa ajili ya watoto wenye umri wa awali na wa kati(teenagers) ambao hapo awali walihitaji usimamizi wa wazazi wao(Parental Control) kufurahia mtandao wa fb, ambao takwimu za hivi karibuni zanaonyesha takriban watu billioni 1 na nusu huingia mtandaoni humo kwa mwezi sawa na watu million 50 kwa siku!!
Kwa mujibu wa wajuzi wa mambo, tofauti na ilivyo sasa, App hii mpya itakayojulika kwa jina kitaalamu kama 'talk app', na ambayo hatahitaji tena account ya fb (fb credentials) badala yake kutakuwa na njia maalum itakayomuwezesha hata mzazi wa mtoto kuona yanayotendeka hata akiwa mbali na mwanawe.. 'hii ni hatua kubwa ya kimaendeleo kwenye 'artificial intelligence' ambayo ilikuwa ikisubiriwa kwa hamu.
Kumekuwepo na malalamiko makubwa juu ya watoto wengi kutumia Facebook kwa njia zisizofaa na ambapo hatua ya sasa ya udhibiti wa mlezi 'Parental Control' haijaonyesha mafanikio makubwa.
No comments:
Post a Comment