Good news: Nimeiona tena Nchi yetu Tanzania kwenye Ramani ya Utulivu kati ya Nchi 10 Barani Africa...!!
Ndugu yangu mfuatiliaji wa habari njema 10, baada ya Nchi yetu kuchomoza kwenye ramani ya Uchumi wa kitakwimu.
Leo tena nimekusogezea hii; Tanzania Nchi ya amani ikiwa kwenye kilele cha amani miongoni mwa nchi 10 Barani Africa zenye amani zaidi.
Hii ni habari njema sana fuatana nasi uone ni nchi ipi nyengine iliyopo kwenye ramani hii ya Utulivu !!

No comments:
Post a Comment